haya ni mabaki ya kiumbe cha ajabu, ambayo yaligunduliwa na mkulima mmoja shambani kwake,mnamo ,mwezi wa nne ,mwaka 2014,katika jimbo la Texas ,huko marekani. Wanasayansi wamejaribu kufanya uchunguzi, ili kujua ni mabaki ya kiumbe gani ,lakini mpaka sasa bado hawajajua ni kiumbe gani ,kwasababu hayafanani na kiumbe chochote..Hata hivyo wengi wana amini yata kuwa ni mabaki ya legend CHUPACABRA..
Mabaki ya kiumbe cha ajabu
STORY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment