Hizi ni sura za ajabu ambazo lilikuwa zikitokea sakafuni ndani ya nyumba ya mtu mmoja huko spain..mnamo 23/9/1971 mmiliki wa nyumba hiyo maria Gomezi aliona picha ya mtu imejichora saka funi jikoni kwake kisha ali mwambia mume wake ndipo walipo iharibu iyo picha ..baada ya kupita kipindi kidogo mwaka 1972 ilitokea tena sura nyingine ya mwanamke sakafuni, maria alipo lipoti kwa meya wa jiji hilo ndipo meya alipo amuru iharibiwe iyo picha lakini haikupita muda tena picha za watu tofauti tofauti ,wanawake na wanaume ziliendelea kutokea na cha ajabu mnamo mwaka 2004 maria alipo fariki akiwa na miaka 84 hazija tokea tena picha zingine mpaka leo....
FACES OF BELMEZ(sura za belmez)
STORY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment