Mnamo mwaka,2001 , mtoto wa miaka nane ,Jina Jesse Arbogast,alivamiwa na samaki mkubwa aina ya Papa(bullshark), alipo kuwa akiogelea katika pwani ya frolida ,marekani.. Baada ya kuvamiwa na samaki huyo,aina ya Papa, Mjomba wa mtoto huyo ali ingia haraka mule majini, na kumtoa yule mtoto mdomoni mwa Samaki huyo Papa.. Lakini baada ya kumtoa yule mtoto ,alikuwa tayari amekwisha katwa mkono na huyo samaki Papa..Mjomba baada ya kuona hivyo aka ingia mdomoni mwa yule papa kisha akapanua mdomo wa papa, na kuchukua mkono wa yule mtoto. Baada ya kuuchukua ule mkono ,aliuweka haraka kwenye barafu ,ili usiharibike kisha aka ukimbiza haraka hospitalini alipokuwa anapatiwa matibabu yule mtoto...na madaktari walifanikisha kuuludisha ule mkono salama ,mwilini mwa yule mtoto ..mpaka sasa yupo salama..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment