Skulls And Bones (02)

SKULLS AND BONES - 2
-
Skull and Bones wamehusika na Kuendesha Utajiri wa Carnegie, Rockefeller na Familia ya Ford na pia kujihusisha na CIA, American Psychological Association, Baraza la Mahusiano ya Kimataifa na pia Baadhi ya Makampuni makubwa ya Sheria Kimataifa.
-
Mwaka 2004 wakati wa uchaguzi wa Urais wa Marekani walio kuwa wagombea wa Republic na Democratic walikuwa ni wanachama wa jamii hii. -

Johnn Kerry  alipoulizwa jambo hili alijibu kifupi tu kuwa “Ni siri na siwezi zungumzia jambo hilo” na Bush W naye pia alipata kuzungumzia hili kwa hali ya kutotaka liendelee kuwa gumzo hivyo kwa Kiswahili kingine ni kuwa alilipotezea. Uhusika wa watu katika Jamii hii ni wa siri sana.
-

William Russell alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha YALE. Huyu ndiye aliyeanzisha jamii hii ya kishetani yenye nguvu kubwa bada ya kuwa aliwahi kukaa Ujeruman akiwa mwanchama wa kundi moja la siri sana duniani likiwepo kundi pia la ILLUMINATI. -
Rusell alirudi USA akiwa ame dhamiria kuanzisha jamii ya siri ya aina yake na akamwambia Alfonso Taft ambaye mtoto wake alikuja kuwa Rais William H Taft kuwa mmoja ya wanachama wa Kundi hili la Udugu wa Kifo “The Brotherhood of Death” ambalo baadaye ndo likaja kufahamiaka kuwa ni “The order of Skulls and Bones”, -
wanachama walikuwa waki muabudu Eulogia huyu ni mungu ambaye inasemekana alikuwa na nguvu za kufanya mtu awe na nguvu ya kuongea mbele za watu na kukubalika, kutukuzwa na kuwa mwenye Umiliki wa Dunia.
-
Fuvu na Mifupa ilianzishwa chuo kikuu cha yale ambacho ni cha Tatu kwa Uzaman Huko Marekani kwa maana ya kuwa ni chuo cha zamani sana katika namba ya vyuo vya zaman usa kinashika namba tatu.
-
Jamii hii imekuwa na ibada zake na mambo mablimbali ambayo yamekuwa ni alama zao pamoja na nyoka na kutoka sadaka zao kwa mungu wao. -

Itaendelea -

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages