GOOGLE 2
-
Google Wana Uza Taarifa za watu kwa makampuni yanayo Tafuta wafanyakazi, hii ni kutokana na kuwa na taarifa za watu ambao Mara Nyingi Wana tafuta kazi Mtandaoni. -
Google Wana Uza taarifa kwa wamiliki wa Vyuo, kwa mfano ulikua ume omba kujiunga na chuo fulani kwa bahati mbaya ume kosa, wana Uza taarifa zako kwenye chuo fulani ambacho Kina tafuta Wanafunzi. -
Ndio maana utakuta labla uliomba kujiunga labla tuseme na chuo cha UDOM halafu majibu yame toka ume kosa Nafasi, baada ya siku kadhaa Una Tumiwa Message Labla Na Uongozi wa chuo cha Kampala International Una ambiwa Kuna Nafasi kwenye chuo chao katika zile course au facults ambazo uliomba kwenye chuo cha UDOM. -
Wakati Mwingine Unaomba kazi kwenye kampuni fulani Una kosa Nafasi lakini utakuta Una tafutwa na kampuni nyingine na kupewa kazi katika kama uliyoomba kwenye kampuni nyingine. -
Google pia wana Uza taarifa za watu kwenye mashirika ya utafiti kwa mfano mashirika ya utafiti wa magonjwa nk. -
Google Ndio waanzilishi wa Mashine Ya utafutaji ya YouTube Wana fanya kazi kwa karibu Sana na makampuni na mashirika mbali mbali, kwa mfano kama wewe Ni Mpenzi wa video zenye maudhui fulani basi hata unapo ingia YouTube utaletewa Ads zenye maudhui unayo yapenda -
Pia Hata video zitakazo fuata chini baada ya video unayo angalia itakua na maudhui unayo yapenda,
Licha ya Google kulalamikiwa kwa kuuza taarifa za watu kwa mashirika na makampuni mbali mbali, pia Google kwa kushirikiana na YouTube Wana lalimikiwa kupokea kila taarifa na kuhifadhi katika Mashine zao za utafutaji. -
Google na YouTube hawana tofauti sana tofauti yao inaweza kuwa ni ndogo sana, Katika maana Google Wana weka taarifa zako katika mtindo wa maneno na picha mnato huku YouTube wakiwa Wana weka taarifa zako katika mtindo wa sauti na picha Mjongeo. -
Kinacho lalimikiwa Google Ni kwamba kila mtu ana Uwezo wa kuweka taarifa Google pasipo kujali ya uongo au ukweli, ndivyo ilivyo kwa YouTube Utakuta kichwa cha habari na Video (Maudhui haya fanani). -
Hayo Ni machache kuhusu Google. -

No comments:
Post a Comment