Google (Sehemu Ya Kwanza)

GOOGLE 1
-
Mashine Nambari 1 Ya Utafutaji Duniani, Ilianzisha Septemba 4 , 1992 Huko Menlo park Carfonia Marekani Na Larry Page pamoja Na Sergey Brin. -
Ina wezekana Kuna mambo mengi huyafahamu kuhusu Google Leo Naomba Nikupe kwa uchache Kuhusu Google. -
Kwanza Unavyo Tafuta Kitu Google Toka Mara Ya kwanza tu Una ingiza kitu na kutafuta Kile Kitu Huwa haki futiki kwenye Mashine Yao Ya Ufatufaji. -
Kama wewe Ni mtumiaji wa Google basi Ina wezekana Google Wana kufahamu kuliko unavyo jifahamu,
Google Wana Kawaida Ya kuuza taarifa zako binafsi pasipo ridhaa yako. -
Wakati Mwingine Google Wana kusaidia kupata kazi au kukosa kazi pasipo wewe kuhafamu. 
Kama wewe Ni mharifu Google wana weza kusaidia ukamatwe, 
Haya Ni machache Tu kati ya mengi yanayo fanywa Na Google -

Yana fanyikaje Twende sawa, -
Kwa mfano Wewe Una Tatizo la Ukosefu wa Nguvu za kiume, Kila siku Una Google Jinsi ya kuongeza nguvu za Kiume wanacho kifanya Google Ni Kuchukua Jina lako na Taarifa Zako na kuyauzia makampuni yanayo Uza Madawa ya kuongeza Nguvu za kiume. -
Kisha kinacho fanyika Google Wana kufuatilia Majina yako unayo yatumia kwenye mitandao kwa mfano Fb, Insta, Twitter nk Kuna Mashine Yao inayo fanya hiyo kazi, Tokea hapo Wana wasiliana na ile kampuni kinacho Tokea, kwa mfano upo Mtandaoni Una fanya kitu fulani Lina fika TANGAZO (Ads) Linalo Husu dawa ya kuongeza nguvu za kiume. -
Kwa mfano Una penda kusoma vitabu Google itakua kila ukiingia Una Unganishwa au Una kutana na matangazo Ya vitabu, -
Kwa mfano Mimi kila nikiingia Google Kuna Website ambazo lazima Nione kwenye Ads, 
Pia Google Wana Google Map, Mara Nyingi Kuna webs ukiingia au Apps ukizifungua utaona Una ambiwa u Turn on GPS (Ufungue Gps ili wajue Location Yako) -
Kwahiyo kama wewe Ni mharifu wanacho kifanya Ni kuuza taarifa zako sehemu ulipo kwa vyombo vya usalama, Au kama Una tatizo fulani utakuta Una letewa Pale ulipo kitu ambacho ulikua Una kitafuta siku nyingi sana -
Itaendelea -

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages