Fahamu | G.A.O.T.U


Wana Fahamika kama The Great Architect of the Universe  Au Grand Architect of the Universe Au Supreme Architect of the Universe (Wabunifu Wakubwa Ulimwengu).
-
Hawa Ni Moja Kati Ya Sect Ya Freemasons, Wana Husika Na Ubunifu Na Utengenezaji Wa Majengo, Nembo Na Alama Mbalimbali. -
Leo Hii Utasikia kila Alama, Kila Nembo Kila Jengo Lina Husishwa Na Freemasons, Wanacho kifanya hawa ni Kuangalia Alama Au Kitu Gani Kina Tumiwa Na Watu Wengi Dunia. -
Kwa Mfano Kama Ni Msalaba Wana Tengeneza Misalaba Yao Ambayo Wana Iga kila kitu Wana weka Tofauti Ndogo Sana ambayo ina kuwa vigumu kuitambua. -
Kama Ni Alama za Kwenye vitu mbalimbali kwa mfano kwenye hela Wana Iga na kuweka Tofauti Ndogo Sana, Kama Ni Picha Wana Iga Na Kutofautisha Vitu Kidogo sana Mfano Picha Ya Yesu Na Sananda. -
Kama Ni Nembo za kwenye Timu za Mipira Au Michezo Mingine Wana Iga Na Kuweka Utofauti Kidogo Sana, 
Kama Ni Nguo Wana Iga Na kuweka Utofauti Mdogo sana, Simu Tunazo Tumia Ni Utata Mtupu. 
Kama Ni Kwa watumishi wana Iga mambo yanayo fanywa na watumishi wa MUNGU Na kuweka Mambo Yao ambayo mwisho wa siku Ni vigumu kugundua 6 ipi na 9 Ipi. -
Unaweza Ukawa Una Jiuliza Kwanini Wana fanya hivi vitu, kitu ambacho Una Takiwa kujua kwanza Tayari wamesha likamata soko. 
Kuna Mtu Ali Niuliza Kuna utofauti gani kati ya Bidhaa zao na Bidhaa za Kawaida.
-

Utofauti Upo Leo Katika maana Bidhaa Ni Moja Lakini Mwisho wa siku wamiliki Wana tofautiana lakini Mwisho wa siku mwenye Nguvu Ndo Mshindi. -

Kwahiyo wanacho kifanya wao Ni kuutafuta utawala Katika Huu Ulimwengu Kuna Siku niliandika sio utawala tu katika maana ya kuwa na Nguvu, Ni Utawala hata juu ya Pumzi Yako. -
Wanacho Kifanya Ni Kuiga Ili usiweze Kuuona utofauti Na Kukuaminisha katika kile wanacho kifanya. 
Yote Kwa Yote Jamaa Ni supernatural powers. ⚫ - Naomba Nikomee Hapa - -


No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages