New order of ages, New World Order au Order out of chaos.
Inatumika kwa namna tofauti tofauti Tuanzie na Order out of chaos, Hii wanaleta vurugu mahali ili kuleta matokeo wanayo yakusudia.
-
Mfano Wa Tafsiri hii ni vita viwili vya dunia(Vita Ya l na ll), Vita ya Iraq, Vita Vya Afghanistan, Shambulio La WTC ,Vita Ya ISIS , Vita Ya Syria ,Vita Ya Congo, Vita Ya Somali, na vita vingine vingi vinavyo endelea duniani iwe vya nchi na nchi au vya wenyewe kwa wenyewe -
Vyote vina tengenezwa na hawa watu ambao kila mmoja ana waelewa kwa namna tofauti kulingana na ufahamu wake wa mambo yanavyo endelea duniani.
-
Hakuna kuto kuelewana kokote kati ya Marekani na Korea Kaskazini, wanatumia kanuni yao ya kijinga sana ambayo wana tengeneza tatizo kisha wanatoa suluhu ambayo inatoa matokeo wanayo kusudia.
-
Umesha wahi kujiuliza vita ya dunia ya pili kwanini iliisha mwezi wa 11 tarehe 11 saa 11 jioni? -
Umesha Wahi Kujiuliza kuhusu Namba 6 na 9?, Unadhani bomu la Marekani lililo dondoshwa Hiroshima na Nagasaki tarehe 6 na tarehe 9 mwezi wa 8 mwaka 1945 lilikuwa bahati mbaya au vita kama unavyo fikiria?
-
Kifo Cha Gaddafi Hakikua Cha Bahati Mbaya, Kifo cha John F Kennedy hakikua cha bahati mbaya,
Tsunami, Matetemeko ya Ardhi, Njaa, Mafuriko, Radi Na Matukio Mengine Sio Yote Ni asilia. -
Wenyewe Wana kuambia ANNUIT COESPIT (Ame kubali, Ame Ridhia, Ame Unga Mkono, Ame Ruhusu) Nani Huyo Aliye kubali? Ni mungu, Ni mungu gani? Kila mtu ana majibu yake. -

No comments:
Post a Comment