Lucid Dreams (01)

Lucid Dreams Ina Tokea Pale Ambapo Mtu Anapo ota huku akiwa ana fahamu Kwamba Naota Yaani Yupo Ndotoni,lakini Ndani Ya Ndoto Ile Akajielewa Kwa Saizi Naota Na Kufahamu Kwamba Hapa Nilipo Nimelala Na Humu Nilimo Ni Ndotoni Nakuanza Kufurahia Mazingira Ya Kwenye Ndoto Na Kufanya Mengi Atakayo. 
Lakini Pia Kuna Watu Huota Na Kujijua kwamba Wanaota Bila Mazoezi Ya Lucid Dreams lakini Inakuwa Sio Kama Lucid Dream Vile Utakavyo Vifanya Hakuna Tatizo Lolote Unaloweza Kulipata Ndotoni Kwa Maana Ni Ubongo Wako Ndio Ufanyao Kazi. 
Kwanini Lucid Dreams?
Ni Swali La Wengi Lakini Chunguza Faida Zake Zikikuvutia utafanya lakini pia Hukusaidia Kufanya Mengi Ambayo Una Tamani Ungeweza Kuyafanya Katika Ulimwengu Wa Kawaida Kama Vile:
1.Kupaa
2.kupongezwa
3.kupata chochote kile unacho Hisi katika maisha tofauti na Ndoto haupati. 
Wengi Wana Kimbilia Kuwaza Nguvu Zao Wapi Wataweza Kuzitumia Kutafuta Pesa Na Kufanya Starehe Lakini Kuna Mazuri Zaidi Ya Hayo Kwanza Ukishajua Hapa Naota Na Nipo Ndotoni Utatamani Uzunguke Dunia Nzima Lakini Mengi Huwa Ni Kweli Kwa Maana Unakuwa Katika Ulimwengu wa Roho, Unaweza Kwenda Popote Kula na Kunywa Chochote Na Kufanya Chochote Ukiwa Katika Lucid Dreams. 
Si Umesha wahi kuota Ndoto Fulani Ambayo Ni nzuri sana kwa upande wako kwa usiku huo Lakini ghafla ukashituka na Ndoto Yako Nzuri ika katika? Hahahaha bila shaka unge tamani iendelee japo kwa dakika moja tu lakini kwa bahati mbaya Haiwezekani na hata unapo jilazimisha kulala tena ili uendelee kuota Una ishia tu kusikia sauti ya Jogoo ana wika akihashiria tayari pamesha kucha. 
Si Umesha Wahi Kuota Ndoto Una kimbizwa na Simba halafu unapo Kimbilia Kuna korongo kubwa sana na Wakati mwingine Una jiachia kwenye hilo korongo,? Sija Kusahau wewe Unae Ota kila siku Una kutana na mambo ya kutisha na ya kuogopesha. 
Sasa kupitia LUCID DREAM Una weza kuisimamisha (Pause) kwanza Ndoto Yako halafu mwenyewe ndo Una Amua uendelee Nayo au Uifutilie mbali..

Itaendelea... :

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages