Ina sadikika Sumerian Civilization ndiyo Ustaarabu wa kwanza kuwahi kutokea duniani kati ya mwaka 4500 - 2000 BC katika Eneo la Mesopotamia. -
Vitabu vya Historia havina uhakika wa mahali "Sumers" walikotokea. Hata hivyo, Mtafiti Zecharia Sitchin, "The Earth Chronicles" cha mwaka 1976, alitafsiri maandishi ya mungu (god) wa Sumers aitwaye Enki. -
Enki ni mtoto wa Anu, Mfalme wa Sayari ya Nibiru aMbayo Kwasasa ina Fahamika kama Planet x. Annunaki ni Viumbe miungu kutoka Sayari ya Nibiru waliokuja duniani kwa lengo la kuchimba dhahabu kwa ajili ya kukarabati Anga ya Sayari yao ya Nibiru. -
Nibiru inaelezwa kuizunguka Jua kila baada ya miaka 3600 (ya duniani).
Kwa kuwa walihitaji wafanyakazi wa kuchimba madini hayo, Enki aliwaaumba Viumbe wanao fanana na wanadamu kwa sura yao ili wawa tumikie baadhi Yao Ndio Hawa ALIENS. -
Kilichotokea ni kuwa, walianza kuoa wanadamu waliowaumba na hivyo kusababisha watoto wao kukataliwa na jamii ya Wanibiru.
-
Annunaki ndiyo walijenga mapiramidi wakisaidiana na watoto wao ambao walikuwa Nephilims. Hao hao ndiyo waliojenga miji mitano ya mwanzo Marekani kwa line moja ikiwa sawa na line ya yale mawe maarufu huko Britany yanayo julikana kama "Stone age".
Kuna mengi sana kuwahusu hawa Anunnaki lakini kimsingi wengine Wana sema ina wezekana Anunnaki
Ndio wale fallen Angels. -
Kuna Maeneo Mengi Ambayo Yana Michoro Yenye kustaajabisha kwenye mapango kwa mfano michoro ya Aliens, michoro ya UFO, michoro ya Ndege (chopa) lakini Cha Ajabu wakati michoro ina chorwa Ndege zilikua bado hazija Gunduliwa.

No comments:
Post a Comment