Anashikiria record ya kuishi ,kwa miaka 40 ,bila kucheka

TESS CHRISTIAN.
Tess Christian; Huyu ni raia wa Uingereza ,ambae kwasasa ana umri wa miaka 52, ambae anashikiria record ya kuishi ,kwa miaka 40 na kidogo ,bila kucheka na kulia.. Tess Christian,alinu
kuliwa akisema ,tokea alipokuwa na miaka 8,alikuwa anapenda sana uso wake uwe nyororo,kwasababu hakutaka kuzeeka ,hivyo, tangu akiwa na miaka 8 ,ali amua kuishi bila kucheka wala kulia ,kwasababu ali amini hiyo ndio njia bora na sahihi ya kuufanya usowake usiwe na makunyanzi(kuzeeka) mapema.
Tess Christian aliamini kwamba, kucheka na kulia ,husababisha kuzohofu kwa misuli(nyama) ya uso,kwasababu wakati wa kucheka au kulia, misuli(nyama) ya uso huwa inajikunja,hivyo kwa kucheka au kulia husababisha misuli(nyama) ya uso kuchoka,na mwisho kuzeeka.
Kwahiyo toka hapo,Tess christian, aliamua kuacha kucheka na kulia ili kuufanya uso wake uwe nyororo, na usicho kijua ,hata kipindi alipo jifungua ,mtoto wake Stevie ,hakulia wala kucheka .

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages