Simo Hayha, alizaliwa ,tarehe 17/12/1905, katika kijiji cha Rautijarvi, inchini Finiland, mpakani na nchi ya Urusi, na alikufa tarehe 1/4/2002,akiwa na umri wa miaka 96,huko Finiland, jina la utani alikuwa anaitwa "the white death". Simo Hayha ,alikuwa ni mkulima na mwindaji ,alipo fikisha umri wa miaka 20, alijiunga na jeshi ,lililo itwa "white guard" katika kikosi cha Red army ,kitengo cha finnish.
Simo hayha ,alipata umaarufu katika vita ya Winter war,iliyo anza mwaka 1939 ,na kumalizika mwaka 1940 ,vita iliyo kuwa ikiusisha taifa la Finland na umoja wa kisoviet(USSR),yeye akiwa ni mpiganaji wa jeshi la Finland. unambiwa katika hiyo vita ,Simo hayha aliua watu zaid ya 350 ,peke ake.
Sasa baada ya kumalizika kwa vita ,Mataifa makubwa yalianza kumtumia ,uyu sniper ,Simo katika misheni mbalimbali,na huyu mwamba alikuwa fundi sana wa kulenga..unambiwa ndani ya siku 100 ,sniper simo aliua watu zaidi ya 500 ,kwa wastani ,alikuwa anauwa ,watu 5, kwa siku...unambiwa uyu mwamba mfano akapewa misheni ,ya kukusaka wewe,jua una asilimia 5 tu ya kupona ,kwasababu misheni zote alizo pewa alikamilisha.
Lakin badae alistaafu, jeshi,na kuishi maisha ya kawaida mpaka apo umauti ulipo mkuta ,mnamo ,tarehe 1/4/
2002,huko finiland....anajulikana kama" the world most deadlist sniper".
Thee most deadlist sniper.
STORY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment