Vitiligo (No.1)

Michael Jackson alizaliwa akiwa Mweusi Kabisa Na Asili Yake Ni Africa Nchini Ivory Coast, Alianza Kupata Umaarufu Akiwa Na Miaka 5 akiwa Mmoja ya Wana mziki wa Kundi la JACKSON 5, ⚫

Umaarufu Wake Uliongezeka Mara Dufu mara Baada ya kuachia Vibao vya Billie Jean na Thriller huku Mitindo wake wa kucheza kama ZOMBIE, ROBOT na MOONWALK ndio iliyo mpa Umaarufu Zaidi.
Miaka Ya 70 Michael Jackson Alikua Tayari Amesha Fahamika Dunia Kote Huku Akiwa Ame Vunja Rekodi Mbali Mbali katika Soko La Mziki. ⚫

Lakini Kipindi chote hicho Michael Jackson alikua ana baguliwa sana kutokana na Rangi Yake, Wakati huo alikua Chini Ya Lebo Ya SONY MUSIC mara kadhaa Michael Jackson Alikua ana nukuliwa akisema SONY Wana Mpango wa kuuwa Vipaji vya kuuwa Vipaji vya Waafrika (Watu Weusi). ⚫

Kuna Wakati WACKO JACKO alipata Dili la kurekodi Tangazo la Pepsi, Wakati katika Maandalizi Ya Kurekodi Michael Jackson Ali Angukiwa Na Moto Kichwani kwake Na kuunguza nywele zake Na Kumuacha Na makovu Usoni Huo Ndo Ulikua mwanzo wa Michael Jackson kuvaa Mawigi katika maisha yake yote hadi kifo chake. ⚫

Pia Ina elezwa baada ya kushindwa kumshusha kimziki wakati huo jina la King of Pop lilishika kasi, Wazungu hawakutaka King of Pop awe na Ngozi Nyeusi, wali Muambikiza kwa makusudi Virus Aina vya Tulas (Vitiligo) hii ili msababishia matatizo ya ngozi. ⚫

Vitiligo ina ina ifanya ngozi kuwa na mabaka meupe na kupoteza Melanin Na kadri Melanin inavyo zidi kutopea kwenye ngozi ndivyo unavyo zidi kuwa na Ngozi nyeupe. ⚫

Daktari wake Bwana Condrad Murray Alisema Jackson alijaribu mara kadhaa kuirudisha ngozi yake kwa kufanya Make up Nyeusi bila mafanikio, hapo pia alianza kuvaa zile Gloves mikononi kuficha udhaifu huo. ⚫

Janet Jackson Dadaye aliwahi kusema wacko alikua ana laani sana kitendo hicho pia anasema Wakati Akiwa mdogo baba yao alikua ana mkejeli sana Jackson kwamba ana Pua kubwa mno Alisema ndo chanzo cha kufanya upasuaji wa pua. ⚫

Hadi Ana kufa alikua ana husishwa sana na kikundi cha KKK ambacho ina semekana alikua ana kitumikia kwa siri pasipo yeye kufahamu. ⚫

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages