Jaribio hili pia lilishafanywa na Nazi huko Germany wakati wakitafuta wazo ya kuunda kitu kinachotembea bila kuathiriwa na mvutano ambao una tokea kati ya sehemu ya juu ya ardhi na sehemu ya chini. ⚫
Hili jaribio liliongozwa kwa siri na Obergruppenfuhrer Hans kamler ambaye alikuwa kiongozi wa nazi kipindi hicho.
⚫
Hakuna maelezo ya moja kwa moja ila experiment ilifanyika na ilikamilika kabisa ⚫
JINSI JARIBIO LILIVYOFANYIKA
⚫
Jaribio lilifanyika kipindi cha kiangazi mwaka 1943 na jaribio lilifaulu kwa kiwango kikubwa na meli iliweza kupotezwa na kukaribia kuto onekana,
kilicho onekana ni kama mawingu au moshi wenye ukijani hatimaye ikapotea na waliokuwa kwenye meli walilalamika vichwa kuwauma pamoja na kizunguzungu.
⚫
Pia ili repotiwa meli ili potokea upya watu waliokuwa kwenye meli walikutwa wamenata kwenye vyuma na wengine hawaku onekana. ⚫
Dhana hiyo inadai kwamba vifaa havikuwekwa vizuri, lakini hata hivyo, jaribio lili rudiwa tarehe 28 Oktoba 1943.
Wakati huu, ELDRIDGE sio kwamba haikuweza kuonekana tu, pia ilipotea kutoka eneo hilo kwa mwanga wa bluu kisha mwanga wa bluu uli pelekwa Norfolk, Virginia, zaidi ya maili 200 (320 km) mbali.
⚫
Inasemekana kwamba ELDRIDGE baada ya kupotea kwa mda mrefu ili onekana huko Philadelphia kwenye sehemu ambayo ilikuwa imechukuliwa. ⚫
Pia alisema kuwa meli ya vita ili chelewa dakika kumi.
⚫
Matoleo mengi ya hadithi yana jumuisha maelezo ya madhara makubwa kwa wafanyakazi. Washiriki wengine walisema wamekuwa wakipatwa na kizunguzungu mara kwa mara wakati wengine walikumbwa na matatizo ya akili,
⚫
Wengine walionekana ndani nje, nje ndani, na wengine walipotea.
Inasemekana kwamba wafanyakazi wa meli walifanywa kuwa na matatizo ya akili,Ili kudumisha siri ya jaribio hilo. ⚫
Itaendelea . .

No comments:
Post a Comment