Vitiligo (No.3)

VITILIGO - 3

kichwa cha habari Ni vitiligo lakini mada Ni KKK sio mbaya Tuendelee . 
Kwanza Tukumbuke Asili Ya KKK (ku klux Klan) Ni Marekani, Marekani siku zote ina Jiona Ni Taifa bora Na Lenye nguvu kifedha, Utawala na Teknolojia. 
Mpango wa KKK ulikua Ni Kupingana Na Dini ambayo ilikua na ushawishi mkubwa kwa wakati ule ili waweze kuzitawala Dini na madhehebu Mengine kwa Urahisi. ⚫

Baada ya kupigana na Ukatoliki Miaka Mingi hatuambiwi kama wali shida au wali shindwa, Zilianzishwa Klan Kadhaa kutoka kwenye kikundi cha KKK Huku kila Kikundi kikiwa na kazi yake. ⚫

1st Klan (haijulikani wazi ina Wanachama wangapi hii ndo inayo milikiwa na Imperial Wizard) 
2nd Klan Wanachama 3,000,000 - 6,000,000, 
3rd Klan Wanachama 5,000 - 8,000 
Kazi zao :- Itikadi za Siasa (1st & 3rd Klans)
Wazungu wenye nguvu za utawala, ushawishi na nguvu ya Fedha na musisitiza kuto kugawanyika (2nd & 3rd klans)
Kupingana Ukomunisti (3rd Klan)
Kupingana ukatoliki (2nd Klan)
Wazugaji (2rd Klan)
Kupingana Na Dini za wayaudi (2nd & 3rd Klans)
Kujifanya Wakristo (2nd & 3rd Klans)
Kuboresha utawala mambo leo (3rd Klan)
Kupingana Na Uislam (3rd Klan)
Kupingana Na LGBT (3rd Klan){Nadharia Njama} 
Kupeana Nafasi za uongozi, Kuingiza Siasa Kwenye Dini na Udini(2nd Klan)
Kueneza Imani za Kishetani (1st Klan). ⚫

Katika historia ya Marekani Hakujawahi kuwa na Rais Mkatoliki zaidi ya John F Kennedy nae hakua na maisha marefu alikufa akiwa Rais Wazee wa Skulls and Bones Wana husishwa na kifo chake ingawa sina uhakika kama ndo wahusika. 
Mara kadhaa Marekani wame hojiwa sababu za kuto kuwa na marais Wakatoliki mara nyingi Wana enguliwa kwenye hatua za mwanzo za uchunguzi. 
Bwana John F Kennedy mara moja aliwahi kusema Marekani haina imani na Ukatoliki kwakuwa ina hisi Ni kikwazo kikubwa kwa utawala wao. ⚫

Kabla Ya kifo cha John F Kennedy Ina elezwa ali kutana na kiongozi wa Wakatoliki Duniani Katika mazungumzo Yao Ina semekana ali agizwa kutoa Agizo la Kufuta Ndoa za Jinsia Moja, Ushoga, Kujiuza n.k 
Lakini aliishia kuitwa Marehemu siku chache zilizo fuata. Kikundi intelegensia cha Jesuit Cha kitatoliki nacho kina elezwa kuwa Tishio kwa Marekani. 
دعاء
🙏🙏

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages