Time Traveles Sehemu Ya Tano

Tukiangalia kwenye ile movie ya FAITH tunaambiwa Kuna Dokta alisafiri kutoka mwaka 1000 kwenda hadi mwaka 2000. ⏬⏬⏬
Pia tunaona Hungal (City Hunter au Lee) nae alijaribu kusafiri kutoka mwaka 1000 kwenda 2000, Na pindi alipo rudi alimtoa binti kutoka miaka ya 2000 na kumpeleka mwaka 1000. ⏬⏬⏬ Dhumuni langu ni kutaka kuonyesha dhana ya Time travelers (wasafiri wa Nyakati) lina lengo gani. ⏬⏬⏬
Kwenye ile movie tunaona wale watu waliopo kwenye mwaka wa 1000 walikua Wana amini mtu anae tokea kule mwaka 2000 ni mtu ambaye katokea mbinguni. ⏬⏬⏬
Ndo maana yule binti alikua ana fanya mambo mengine ambayo sio sahihi lakini alikua hapingwi kwa dhana kuwa yeye katokea mbinguni. ⏬⏬
Hapa unaweza kukubaliana na mimi kwamba Time travelers is Secret theory or Conspiracy theory kwa Lugha ya kihalifu tungeweza kusema Nadharia Njama au Nadharia ya Siri ambayo wakati mwingine hulenga kupotosha kundi fulani la watu kwa kusudio fulani. ⏬⏬
Kuonekana simu miaka ya 1920 ni kuanzisha mjadara baina ya watu wenye kulenga kupumbaza akili za watu kwamba teknolojia ya wakati huo ilikua juu. ⏬⏬
Kuna wakati mwingine tunaambiwa hata safari za mwezini zilizo fanywa na NASA kwa kutumia chombo anga cha Apollo 11 huku Bwana Armstrong na Buzz Aldrin wakiwa wasafiri ni Time travelers kwani teknolojia ya kipindi kile hisinge weza kuwawezesha kufanya vile ilikua ni mpango wa Marekani kuutisha Ulimwengu kuwa wao wana teknolojia kubwa kiasi cha kuto shindwa chochote. ⏬⏬
Ajari ya Meli ya Titanic hii kabla ya kuwa ajari mara ya kwanza ilikua ni Time travelers na mwisho time travelers walifanikiwa katika hili. 
Tuna ambiwa miaka 14 kabla ya ajari kutokea Bwana moja aliandika kitabu cha hadithi chenye kuelezea Ajari ya Titanic hii ina maana kwamba manaodha wange fuatilia kwa umakini kile kitabu kwa umakini uenda ajari isinde tokea hapa tunaona Time travelers imechukua Nafasi katika upande wenye manufaa zaidi. ⏬⏬
Kwenye movie ya INTO THE BADLAND pale Daniel Wu (Sunny) anapo sumbuliwa na Ndoto nzito ile ni Time travelers ingawa wataalamu Wana sema hakuna Time travelers ambayo haiji na physical Impacts (matokeo yanayo onekana). Pia movies ya JUMANJI Kuna Time travelers. .
Usikose sehemu ya mwisho

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages