Time Traveles Sehemu Ya Sita

Wana safiri vipi sasa? ⚫
Hili ni swali ambalo nime 
ulizwa sana. ⚫
Hawa jamaa huwa Wana safiri ki fikra na kiakili (wakati mwingine Wana safiri hata kimwili kama mazingira yana waruhusu kufanya hivyo japo asilimia kubwa ya walio jaribu kusafiri kimwili hadi leo hawa julikana walipo kama Bwana John Titor). ⭐⭐⭐
Wana tumia zile fikra zao kufanya au kuunda jambo fulani, kwa mfano tuchukukie teknolojia ya mwaka 2034 itawezesha gari kupaa. 
Akitokea mtu leo kufanya hivyo huyo ataitwa Time traveler (msafiri wa wakati) ame enda na wakati. ⭐⭐⭐
Pia niseme hakuna Time travelers ambayo haito husisha matokeo yanayo onekana (physical Impacts) lazima fikra na akili mwishoni zilete kitu ambacho Kina onekana na kusababisha kuibuka kwa mijadala mbali mbali (Kama ilivyo kwetu leo tuna jadili simu kuonekana mwaka 1921). ⚫
Mwisho wa Mjadala ⚫
Time travelers ni Nadharia Njama/ya Siri inayo kusudia kuepusha jambo fulani ikiwa na lengo mahususi la kuwavuruga watu kuelekeza mawazo yao sehemu fulani. ⚫
Mifano hai - ⚫
Baada ya vita ya kwanza ya Dunia (1914 - 1918)Marekani walitaka kuthibitisha Ulimwengu kuwa teknolojia yao bado ipo juu .
Mwaka 1921 kwenye movies ya Charlie Chaplin iliyo rekodiwa Marekani alionekana dada anaongea na simu. ⭐⭐⭐
1998 katika pambano la Mike Tyson yule mtu aliye onekana na simu akirekodi ulikua ni mpango wa Marekani kuwafanya watu waelezekeze mawazo yao kwa yule mtu ina elezwa ulikua mpambano ugumu kwa Mike. ⚫
IBM I500 ilizuia vita vya wenyewe kwa wenyewe 2008 nchini Marekani. ⚫


MWISHO!!!

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages