Time Traveles Sehemu Ya Nne

Alicho kifanya John Titor ni kutafuta kifaa kilicho julikana kwa jina la IBM 1500 ambacho kilikua kime potea mda mrefu huko Marekani. ⭐⭐⭐
Kwa kushirikiana na babu yake alifanikiwa kukipata hicho kifaa ambacho alikua ame toka nacho mwaka wa 1975 na kurejea tena mwaka wa 2008. ⭐⭐⭐
Mara Baada ya wamarekani kukuona kile kifaa walishangazwa sana kwa kuwa walikua wakikisikia tu kwenye vitabu vingi vya historia rasmi waliacha kurumbana wenyewe kwa wenyewe wakijikuta Wana tumia mda mwingi kukijadili kile kifaa. ⭐⭐⭐
Hivi ndivyo Bwana John Titor alivyo fanikiwa kuzuia vita ya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2008 kwa kutumia nadharia ya wasafiri Wenye Kutangaza Wakati. ⭐⭐⭐
Wakati watazamaji walibaki na wasiwasi wakiuliza nini alichokifanya mwaka wa 2001, Titor alielezea kwamba angeweza kukusanya picha, ambazo angeweza kupoteza baadaye (wakati wa vita) vya wenyewe kwa wenyewe.
⭐⭐⭐ Alienda kutembelea familia yake pia, ambaye angeweza pia kuipoteza baadae kama vita vinge tokea. ⭐⭐⭐
Lakini Titor alidai alikuwa na sababu nyingine kuu ya kuonyesha mwaka 2001: Ili kuokoa Amerika kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe. ⭐⭐⭐
Na kufanya hivyo, alifanya Nadharia ya njama ya 9/11. Ilikuwa ni kama kazi yake ya ndani.
⭐⭐⭐
Nnamo Machi 24, 2001, Titor alipotea milele.(Ina sadikika alijaribu tena kurejea mwaka 1975 ki mwili na akili). ⭐⭐⭐
Bila shaka itakua tumeanza kuona kuwa nadharia ya wasafiri Wenye Kutangaza Wakati mara nyingi inakuwa na dhumuni fulani ingawa bado ni kizungumkuti kuthibitisha kama ni nadharia ya kweli au ya kufikirika tu. ⭐⭐⭐
Itaendelea

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages