Kati ya watu hao watatu mmoja tu ndio alie jitambulisha kwa jina kama Jemi, (Office Of Naval Research)iliwatambulisha hao wengine kama Mr. A na Mr. B, Wote kwa pamoja walidai kuwa wao ni waroma (gypsies) wanaishi ulaya lakini asili yao ni magharibi mwa india.
Watu hao watatu (wafafanuzi) walikuwa wanajadili kuhusu watu wa aina mbili wanao ishi nje ya mizazi ya Dunia.
Katika maandishi ya wafafanuzi hao hawakufuata mtindo mzuri wa uandishi ila kwa kiwango kikukubwa walikuwa wanatoa maelezo ya dhana ya Jessups kwenye kitabu chake.
Wafafanuzi walidai kuwa kuna majaribio ya ukweli kuhusiana na hilo jambo pia kuna udhibitisho kuwa Philadelphia experiment ilifanyika nakufanikiwa kwa kiwango kikubwa;
Mr. B alitoa Nadharia na factual information (Taarifa sahihi) ambazo Jessup alikuja na kuziboresha.
Jessup pia aligundua kuwa sehemu kubwa ya ufafanuzi uliokuwa kwenye barua uliandikwa na Bwana Allende kutokana na kuangalia mtindo wake wa uandishi (hand writing).
Pia Office Of Naval Research ilimpa Jessup kitini kidogo chenye kurasa100 zilizo chapishwa ambacho kinaonekana kilitengenezwa na Kampuni ya Varo na kuhaririwa na varo ( Varo Edition) na wao wali kipa jina la Varo Annotation (Dokezo la Varo).
Jessup alijaribu kuchapa vitabu vyake ambavyo kichwa chake kilikuwa ni UFOs ila hakufanikiwa kutokana na kukosa wachapishaji na baadae Jessup aliuawa florida april 30, 1959 kwa kuwekewa sumu kwenye gari.
Lakini kabla ya hapo Jessup aliwahi kutengenezewa ajali ya gari huko florida ila hakufa.
Itaendelea..

No comments:
Post a Comment