Time Traveles Sehemu Ya Tatu

Ndugu zangu naona ili Swala limekua gumu kueleweka. 
Ebu nitumie njia hii niachane za zile Nadharia. ⭐⭐⭐
Kifupi naweza sema kwamba leo hii wewe una shangaa mtu kasafiri kwenda mwaka 2034, Naomba jiulize swali 1 tu smartphone zilikua zime gunduliwa lini? ⭐⭐⭐
kama jibu ni kuanzia miaka ya 2000 yule binti aliye onekana kutumia mwaka 1921 ilikuaje.?
⭐⭐⭐ Je ina maanisha yeye alisafiri toka mwaka 1921 na kuja mwaka 2000 kabla sisi hatuja ufikia? Jibu ni Ndio.
⭐⭐⭐ Nime kugundua Kuna Siri kubwa sana katika hili jambo. Unavyo ambiwa mtu kasafiri hadi mwaka 2034 ina maana kwamba anafanya kitu ambacho kinatakiwa kifanyike mwaka 2034 kwa Teknolojia yetu ya 2017/2018 hatuwezi kufanya lakini ikifika 2034 watashangaa ime kuaje tuliweza kufanya hicho kitu miaka ya 2017 au 2018? ⭐⭐
Je kwanini Fanyaje hivi? ⭐⭐
Tuna ambiwa Ulikua mwaka 2008 Lakini Bwana John Titor alirejeshwa hadi mwaka 1975. ⭐⭐
Je ni kweli alirejea mwaka 1975? ⭐⭐
Kitu ambacho kilimfanya arejee mwaka 1975 ni kutokana na Mwaka 2008 kuwa na mgogoro wa wenyewe kwa wenyewe katika nchi ya Marekani kwa kile kinacho daiwa ni Conspiracy Theories of 9/11 (Nadharia Ya Njama ya 9/11). ⭐⭐⭐
Katika hiyo Nadharia ya njama ya 9/11 Marekani waliingia kwenye mgogoro Kuna walio taka ianzishwe vita dhidi ya vikundi vya kigaidi na waliopinga mwisho wa siku mgogoro ukawa mkubwa kuliko kupambana na Ugaidi. ⭐⭐⭐
Hapo Ndipo Bwana John Titor alipo anza kuwaza afanye nini ili aweze kusimamisha ule mgogoro. ⭐⭐⭐
Hapo Ndipo Nadharia ya Wasafiri Wenye Kutangaza Wakati inapo tumika (Time travelers). ⭐⭐⭐
Itaendelea

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages