Tecno Camon X na Tecno Camon X Pro


Hii ni simu mpya kwa sasa kutoka Tecno simu hii inasifika kwa ubora wake wa kupiga picha nzuri sana, simu hizi zinakuja na machaguo mawili ya Tecno Camon X pamoja na Tecno Camon X Pro. Simu ya Tecno Camon X Pro yenyewe ina kamera kubwa zaidi, sifa nyingine za simu hiyo ni kama zifuatazo.
Sifa za Tecno Camon X
》Ukubwa wa Kioo – Inch 6.00 chenye teknolojia ya IPS LCD capacitive touchscreen, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na 1080 x 2160 pixels, 18:9 ratio (~269 ppi density)
》Mfumo wa Uendeshaji – Android 8.1 (Oreo)
》Uwezo wa Processor – Octa-core 2.0GHz MediaTek Helio P23
Uwezo wa GPU – Mali-T720
Ukubwa wa Ndani – GB 16 kwa 》Tecno Camon X na GB 64 kwa 》Tecno Camon X Pro zote zikiwa na uwezo wa kuongezewa kwa Memory card hadi ya GB 128.
》Ukubwa wa RAM – GB 3 kwa Tecno Camon X na GB 4 kwa Tecno Camon X Pro
》Uwezo wa Kamera ya Mbele – Megapixel 24 kwa Tecno Camon X Pro na Megapixel 20 kwa Tecno Camon X zote zikiwa na Ring flash
》Uwezo wa Kamera ya Nyuma – 》Megapixel 13 ikiwa na Dual-flash
Uwezo wa Battery – Battery isiyotoka ya Li-po 3750 mAh battery
Viunganishi – Wi-Fi 802.11 b/g/n, 》Bluetooth v4.2, A2DP, LE
pamoja na GPS ya A-GPS, microUSB 2.0
》Rangi – Inakuja kwa rangi ya Midnight Black
》Mengineyo – Inayo Line Mbili za Dual SIM
》Ulinzi – Fingerprint (iko nyuma), Face Unlock (kufungua simu kwa uso)
》Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G na 4G
》BEI – Tecno Camon X Tsh 550,000 hadi Tsh 470,000 na Tecno Camon X Pro Tsh 700,000 hadi Tsh 600,000.
Mahali Inapo Patikana – Maduka ya Tecno, Kupita Jumia

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages