Simu hii pia ya Tecno Camon CX Air nayo ni moja kati ya simu ambazo ni bora kwa wale wanaopenda kuwa na simu zenye uwezo mkubwa wa kamera, Mbali na kuwa na uwezo mkubwa sana wa kamera simu hii pia inapatika kwa bei nafuu sana.
Sifa za Tecno Camon CX Air
》Ukubwa wa Kioo – 5.5-inch IPS Screen display, 720 x 1280 pixels (267ppi)
》Uwezo wa Processor – 1.25GHz quad-core with MediaTek MT6737 CPU and 2GB of RAM
Mfumo wa Uendeshaji – Android 7.0 with HiOS 2.0
》Ukubwa wa Ndani – Ukubwa wa ndani GB 16 inayo weza kuongezwa kwa memory kadi hadi ya GB 128.
Uwezo wa Kamera – Kamera ya Nyuma Megapixel 13 Kamera ya Mbele Megapixel 13
》Uwezo wa Internet – 4G LTE (up to 150Mbps)
》Aina ya Ulinzi – Fingerprint Sensor (Rear)
》Uwezo wa Battery – Ukubwa wa battery 3200 mAh yenye teknolojia ya Fast Charging
》Bei – 350,000 au 380,000 inategemea na mahali ulipo nunua.
Mahali inapo patikana – Duka la Tecno lililopo Kariakoo Dar es Salaam. Mkuoani Wakala wa Tecno pamoja na Kwenye mtandao wa Jumia.
Tecno Camon CX Air
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment