Mpaka sasa bado simu ya Tecno camon C9 inaendelea kushikilia chati ya simu bora zenye uwezo mzuri sana wa kamera, simu hizi ambazo zina kamera yenye nguvu zaidi ni bora sana kwa wale wanaopenda kupata simu zenye uwezo mkubwa wa RAM pamoja na kamera.
Sifa za Tecno Camon C9
Ukubwa wa Kioo – 5.5-inch IPS Screen Display, 1080 x 1920 pixels (400ppi)
Uwezo wa Processor – 1.3GHz octa-core with MediaTek MT6753 CPU and 2GB/3GB of RAM
Mfumo wa Uendeshaji – Android 6.0. Marshmallow
Ukubwa wa Ndani – 16GB Storage expandable up to 32GB
Uwezo wa Kamera – 13MP Back Camera and 13MP Selfie Camera
Uwezo wa Network – 4G LTE Data
Aina ya Ulinzi – Iris Scanner (Front)
Bei – 250,000 – 450,000 Inategemea na Utakapo Nunua
Mahali inapo patikana – Duka la Tecno Kariakoo
Tecno Camon C9 au Tecno Camon C9 Plus
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment