Tecno L9 Plus


Ni wazi kila simu iliyo ingia kwenye list hii ina sababu ya kuwa hapa, pengine bei yake kuwa rahisi, pengine sifa bora zaidi pengine ni uwezo wa simu kwa upande wa battery. Sasa kama ulikuwa unatafuta simu bora yenye uwezo wa kudumu na chaji zaidi basi simu hii ya Tecno LPlus ni moja kati ya simu bora sana kwako. Simu hii ina battery yenye ukubwa wa 5000mAh yenye uwezo wa kudumu na chaji kwa zaidi ya masaa zaidi ya 72 ambayo ni sawa na siku tatu.
Sifa za Tecno L9 Plus
》Uwezo wa Kioo – 6.0-inch IPS Screen Display, 720 x 1280 pixels (244ppi)
》Uwezo wa Processor – 1.3GHz quad-core with MediaTek CPU and 2GB of RAM
》Mfumo wa Uendeshaji – Android 7.0 with HiOS
》Ukubwa wa Ndani – 16GB Storage expandable up to 128GB
Uwezo wa Kamera – Kamera ya nyuma Megapixel 13, Kamera 5MP Selfie Camera
》Uwezo wa Network – 3G Internet
Aina ya Ulinzi – Fingerprint Sensor (Rear)
》Uwezo wa Battery – 5000 mAh Battery yenye teknolojia ya Fast Charging
Bei – TSH 500,000 – 400,000 Inategemea na Utakapo Nunua
Mahali inapo Patikana – Duka la Tecno Kariakoo

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages