Mwaka 1990 Stewart alisaidiwa na Alfred Bielek ambaye ali dai yeye alikuwa kwenye meli hiyo na kushiriki kwa kiwango Fulani kwenye hiyo experiment,
Alfred alikubali mawazo ya Stewart kuhusu filamu zinazo onekana kama main stream outlet (Talawa za Maduka) za picha, Stewart alipo zifananisha na Philadelphia Experiment hakukosea njia zilikua zime fanana (Hapa utaona hii Experiment ni kweli ilifanyika na ilifanikiwa lakini itabaki kuwa siri ya U.S NAVY Inawezekana lengo la wakosoaji ni kutaka Maelezo zaidi ya jinsi gani experiment ilifanyika ili nao waweze kupata Ujuzi na Maarifa ya kufanya kitu kama hicho kiwasaidie katika kujilinda).
Baada ya mkanganyiko mkubwa hii Experiment ili gundulika ime lenga kwenye UNIFIED FIELD THEORY (Nadharia ya Kuunganisha vitu katika Eneo Moja) ambayo Albert Einstein ndiye mhasisi, ilikuwa inahusisha UNITING FIELD OF ELECTROMAGNETISM AND GRAVITY INTO SINGLE FIELD. (Uunganishaji wa Nguvu ya Umeme, Usumaku na na mvutano uliopo kati ya sehemu ya juu ya Dunia na sehemu ya chini na kuviweka katika mtazamo moja wenye kufanana).
Baadhi ya utafiti watafiti wamedai kwenye hii teknolojia ina husisha matumizi ya jenereta kubwa la kuzalisha umeme ili kukunja miale ya mwanga (bending of lights) kuzunguka kitu na kukusanya miale ya mwanga na kusabisha hicho kitu kisionekane kabisa,
Navy waliona hii experiment ina faida kubwa kijeshi hivyo wakasidia experiment kukamilika.
Watafiti wengine wanasema experiment ili husisha vipimo vya sumaku na mvutano uliopo chini na juu ya bahari hivi vipimo vilichukuliwa ili kupata wanyama wenye tabia ya kuwala wanyama wenzao (Anomalies). ⭐⭐⭐
Itaendelea. ⚫

No comments:
Post a Comment