Watu wenye unene uliopitiliza wako katika hatari ya kupata saratani/kansa ya kongosho mara 20 zaidi ya watu wenye uzito wa kawaida. Kongosho (pancreas) ni ogani inayotengeneza insulin (kichocheo kinachodhibiti kiasi cha sukari kwenye damu).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment