Watu wenye unene uliopitiliza wako katika hatari

Watu wenye unene uliopitiliza wako katika hatari ya kupata saratani/kansa ya kongosho mara 20 zaidi ya watu wenye uzito wa kawaida. Kongosho (pancreas) ni ogani inayotengeneza insulin (kichocheo kinachodhibiti kiasi cha sukari kwenye damu).

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages