mahusiano yenye furaha huboresha afya

Utafiti wa Chuo Kikuu cha Missouri uligundua kuwa katika mahusiano yenye furaha huboresha afya na kufanya wenzi kuishi umri mkubwa kuliko wale wanaobaki wapweke au walio kwenye mahusiano yenye migogoro.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages