Vyakula muhimu kwa ukuaji na maendeleo bora ya ubongo wa mtoto:- protini eg mayai, madini ya zinki eg samaki, madini ya chuma eg maharage, iodini eg chumvi, asidi zenye mafuta (fatty acids) eg mafuta ya samaki na vitamini mbalimbali kutoka kwenye mboga za majani & maziwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment