Watoto wa miaka 6 hadi miaka 12 wanapaswa kulala masaa 9-12

Watoto wa miezi 4 hadi 12 wanapaswa kulala hadi masaa 16. Watoto wa mwaka 1 hadi miaka 2 wanapaswa kulala kati ya masaa 11-14. Watoto wa mika 3 hadi miaka 5 wanapaswa kulala masaa 10-13. Watoto wa miaka 6 hadi miaka 12 wanapaswa kulala masaa 9-12. Na kwa vijana ni masaa 8-10.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages