1:WANAWAKE WANA JIKUTA WANAVUTIWA NA WEWE ENDAPO T WAKIGUNDUA KUNA WANAWAKE WENZAO ZAIDI YA WAWILI WANAKUANGALIA WEWE BILA YA WEWE KUWAONA WAKIKUANGALIA
2:mimba ya jack chain HAIKUWA miezi 9 ilikuwa 12
3:ng'ombe ana uwezo wa Kutoa maziwa mengi akikamuliwa kipindi anasikiliza nyimbo tulivu
4:KUMBE MBU AKISHAKUNYONYA DAMU HAKUACHI MPAKA AKUKOJOLEE
5;Je wa jua
the original name for butterfly was flutterby ?
6-Je wajua
Akili yako is more active sleeping than it is watching tv?
7-Je wajua
a violin contains about 70 individual pieces of wood ..
8-Je wajua
nyanya were originally thought to be poisonous .
9- Je wajua?
Kwamba Ndege aina ya Korongo ndiyo Ndege wanao safiri masafa marefu (continet to continet ) kuliko Ndege wengine wowote duniani .
10~ Je wajua ?
Kwamba Tembo wanao uwezo wa kuwasiliana kupitia waves chini ya ardhi takriban km 500 kutoka alipo Tembo mmoja hadi mwengine.
Judgement
No comments:
Post a Comment