1. Je wajua ndimu inasukari nyingi kuliko strawberries (Sacarose) ?
2. Je wajua kingereza sio lugha ya kwanz wala ya pili duniani? (Mandarin na spanish zimeitangulia kwa idadi ya wat kuongea)?
3. Je wajua hakuna chakula ambacho kip naturally blue?
4. Je wajua Asali haiozi hata baada ya maelfu ya miaka?
5. Je wajua Jina la kwanza la internet iliku ni ARPAnet? (Advanced Research Proje Agency Network)
6. Je wajua kua chura hawanywi maji? (wana-rehydrate kwa kupitia ngozi zao
7. Je wajua ukila aple asubuhi inakuchangamsha haraka kuliko kahaw
8. Je wajua mkojo wa paka unameremeta under black light (it glows)
9. Je wajua Mbuni (austriches) hawaziki kichwa chao mchangani? (there is a believe that they do)
10. je wajua kua idadi ya watu wanao kufa kwa sumu ya nyuki ni kubwa kuliko wanao kufa kwa sumu ya nyoka?
Je wajua?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment