Unajua kuwa kuna nadharia/theory inayo sema


Unajua kuwa kuna nadharia/theory inayo sema ,endapo mtu ukisafiri kutoka Duniani na kwenda anga nyingine yani,nje ya anga ya dunia kwa kutumia chombo kama spaceship/ndege ,yenye uwezo wa kukimbia sawa na spidi/speed ya mwanga. Kama uliondoka Duniani na chombo hicho ukiwa na miaka 5, na ukaishi huko katika icho chombo huku kikiwa kina kimbia kwa mwendo wa spidi ya mwanga na ukaishi ndani ya icho chombo kwa miaka 5, jumla utakuwa na miaka 10. Utakapo rudi Duniani, ukiwa na miaka 10, utawakuta wale wenzako wote ulio waacha wakiwa na miaka 5, kama wewe ulipo ondoka duniani wao wakiwa na mika 55. Hii ilibainishwa na mwana fisikia ALBERT EINSTEN, alipo ongelea hilo kupitia theory yake ya relativity , E=mc2, alipo ichanganua katika Time dilation kupitia relative motion ,mwaka 1905. Ambapo alisema kwamba , masaa yana tofautiana kutokana na speed ya mwanga, mfano katika speed ya mwanga nje ya dunia dakika moja sawa na dakika 10, duniani. lakini, albert einsten alipingwa vikali na wanasayansi wenzake na kusema kitu hicho hakiwezekani akiwemo WILLIAM, mwana Filosofia kutoka Roman katoriki alie sema, Time hai athiri mabadiliko ya mwili, kwahyo atakama atarudi akiwa na miaka 10, huku wenzake akawakuta na miaka 55, kilichobadilika ni Muda tu, lakini kimwonekano atakuwa sawa na wenzake, hivyo kama atawakuta wazee na yeye atakuwa mzee pia, kwasababu time imetengenezwa lakini mabadiliko ya mwili ni natural. Hata hivyo hakuna alie fanya jaribio na kuthibitisha ilo, hivyo imebaki kuwa theory tu na sio Law(kanuni), na inawezekana kuwa kweli au ni uwongo tu.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages