MICHELANGELO BUONARROTI, alifanikisha kuichonga sanamu maarufu ya DAVIDI,yenye ukubwa wa mita 5, akiwa na umri wa miaka 26.
Unambiwa iyo sanamu ilitengenezwa kwa kutumia Jiwe Ngumu la chuma aina ya white marble, ambapo ili mchukua miaka 3, mpaka kukamilisha kulichonga jiwe hilo katika mfano wa mtu.
Unambiwa baada ya kumaliza kuitengeneza sanamu ya David, watu hawakuamini, kwasababu ilikuwa ni smooth kiasi cha kuto kuamini kama ni jiwe lililo chongwa, kwasababu ilikuwa na muonekano wa mtu kabisa.
Yeye mwenyewe michelangelo, baada ya kumaliza kuchonga iyo sanamu, ali lia na kuiambia sanamu itembee na kuongea , kwasababu ilikuwa na vigezo vyote kimuonekano ata usmooth wake na ukiona huwezi kuamini kama ni jiwe.
Sanamu hiyo ipo mpaka sasa na ina miaka kama 500, hivi toka ilipo tengenezwa, kwa sasa inapatikana katika makumbusho ya Accademia Gallery Florence ITALY.
Michelangelo, alikuwa ni mchoraji na mchongaji maarufu sana alie zaliwa 6/3/1475 na kufariki 8/2/1564..Huyu alikuwa mpinzani mkubwa wa Leonardo Da vinc , kutokana na kipaji na akili nyingi alizo kuwa anazitumia katika kazi zake.
Kazi zake nyingine maarufu ni , LA PIETA ,BACCHUS, MOSES SCULPTURE,MADDONA OF MANCHESTER PAINT, SISTINE CHAPEL PAINT, THE CRUCFIXION OF ST.PETER, THE FALL OF MAN, THE LAST JUDGEMENT.
Mimi binafsi huyu ndio the Greatest painter of all time in history. ✨✨MWISHO✨✨✨
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment