TANGANYIKA LAUGHTER EPIDEMIC.
Mnamo january 30 mwaka 1962 Tanganyika(Saivi Tanzania) katika shule moja hivi inayoitwa Kashasha ya kanisa ya kulala uko uko ya wasichana (Boarding School) Shule ilikua karibu na ziwa victoria na Uganda , Mabinti wa3 walianza kucheka hapo shuleni na baadae Waliwaambukiza wenzao hapo shuleni mpaka kufikia idadi ya wat 95 mpaka 159 waliokadiriwa kuwa na umri wa miaka 12-18.
Dalili hizo za kucheka zilidumu kwa muda wa masaa 6 tu na walimu hapo shuleni hawakuathiriwa na chochote walibaki kupigwa na butwaa tu. March 18 mwaka huo huo shule ililazimika kufungwa na wanafunzi waliamuriwa kurud nyumbani (Nawaza kwamba warirud nyumban wakiwa wanacheka ivo ivo au la ?). Kwakua wanafunzi wengi walikua wakitoka katika kijiji cha Nshamba kucheka huko kulisambaa katikat ya kijiji pia. Kwanzia April mpaka may watu takriban 217 walipatwa na ttzo hili la kucheka wengi wao wakiwa wanafunzi hali kadhalika wakubwa kwa watoto. Shule ilifunguliwa tena Ikiwa may 21 mwaka huo huo na kulazimika kufungwa tena Mwishoni mwa mwezi June , Karibu shule 14 zilifungwa kwa mda. June hio hio kicheko kilisambaa mpaka Shule ya wasichana Ramashenye, Shule hii ipo karibu na Bukoba na takriban wasichana 48 walipatwa na kisanga cha kucheka.
Tatizo Hilo liliwapata wat takriban 1000 ikiwemo wanafunz na jamii kiujumla huku ikiripotiwa kuwa huo ni ugonjwa unaosambaa na kuathiri magroup yeny rika sawa wakaongeza na kusema ugonjwa huu huanzika kwenye mfumo wa neva wakaita kua ni Mass Psychogenic Illness (MPI) . Miezi Sita mpaka kumi na nane baada ya kutokea tatzo hili hatimae lilikwisha na wat walipata madhara mbali mbali kama kuzimia, kupata shida kupumua na maumivu.

No comments:
Post a Comment