Nchini Marekani ,mnamo miaka ya 1990s , mgunduzi mmoja ,aliejulikana kwa Jina la Stanley Meyer, alie zaliwa terehe, 24/8/1946, alifanikisha kugundua gari ,ambayo itakuwa na uwezo wa kutumia maji kama mafuta, badala ya mafuta kwa lengo la kupunguza Uchafuzi wa hali ya hewa unaosababishwa na Moshi wa mafuta.
Lakini , nyuma yake kuna watu hawakupendezwa na hilo haswa, makampuni makubwa ya kuuza mafuta na hata serikali, kwasababu kama wangeruhusu magari yawe yana tumia maji mafuta yasingekuwa na thamani, hivyo kukosa soko.
Stanley hakujali, hilo aliendelea kufanya kile anacho kiamini katika ugunduzi wake, lakini miaka nane baadae yani mwaka 1998, mwezi wa 3,tarehe 21, huko Franklin Marekani walimkuta ,Stanley meyer akiwa amekufa, na kifochake kilikuwa hakijulikani nini chanzo.
Baadhi ya watu na wachunguzi ,waliamini stanley aliuliwa kutokana na Ugunduzi wake huo, hivyo hawakutaka hilo litokee kwa kulinda uchumi wa mafuta, hicho ndicho kilichopelekea stanley kuuwawa. ✨✨MWISHO✨✨

No comments:
Post a Comment