Christian poincheval,

Christian poincheval, Huyu amegundua Vidonge(pill), ambavyo vina igeuza harufu ya Ushuzi ,kunukia kama Choclate..Poincheval alibainisha hayo na kusema kuwa mtu anahitaji kula kidonge hicho kabla ya ushuzi haswa asubuhi , ili siku nzima awe free katika kutoa ushuzi ,kwasababu hato umbuka wala kuwachukiza watu. ✨✨MWISHO✨

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages