DRANCUCULUS MEDINENSIS & SNAKE....

DRANCUCULUS MEDINENSIS & SNAKE
Ana Fahamika Pia kama Guinea Worm, ana penda kuishi kwenye maeneo yenye maji, kwa kawaida huambikiza kupitia mayai yake ambapo baadae mnyoo huo hutotolewa na kukaa chini ya ngozi , mara nyingi hushambulia miguu.
-

Guinea Worm Ni kingdom Animalia, Phylum Nematode, Class Chromadorea, Ana Sababisha Ugonjwa wa DRACUNCULIASIS (Guinea worm disease). Ugonjwa huu Una sababishwa na mnyoo wa kike.
-

Mnyoo huo Hufanya kidonda kutokea na kwa tamaduni na mazoea tokea enzi za zamani kumtoa watu hutumia kijiti, kumviringisha mnyoo katika kijiti na kumvutia nje, kama inavyo onekana kwenye nembo nyingi. -

NYOKA -

Lakini wapo wenye mawazo tofauti kuwa nyoka amekuwa akitajwa katika simulizi za kale kama kiumbe ambae alikuwa akisaidia katika tiba. 
Kuna wanao amini kwamba sumu ya nyoka ikitumika vizuri ina uwezo wa kutibu. -

Aidha tuna elezwa hii ilikuwa ina tumika kuwajengea watu umakini katika matumizi sahihi ya dawa hata Tunavyo Tembea sehemu za porini tuna kawaida ya kuambiana kuwa makini na nyoka hivyo hiyo nembo ilitumika Kuweka msisitizo kwa watumiaji wote wa dawa wawe makini wakati Wana tumia dawa kama walivyo elekezwa. -

Pia kwa Upande wa Imani Tuna ambiwa Wana wa Israeli wali agizwa na M/Mungu Kupitia Kwa Musa Atengeneze Nyoka wa Dhahabu Na Kila Atakae Muangalia atapona. -

Katika Ufafanuzi wa BOT wali fafanua mengi kuhusu hii nembo lakini moja kati ya Ufafanuzi Ni kwamba "Benki Kuu ya Tanzania iliweka alama hiyo katika noti ya shilingi 500 kuonesha umuhimu ambao serikali inaweka katika huduma za afya.
-

Upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi, wakiwemo watoto, ni suala ambalo linapewa kipaumbele na Serikali. 
Hili linajidhihirisha wazi katika mgawanyo wa bajeti ya serikali ambapo sekta ya afya inapata rasimali ya kutosha". -

Wengi Wana amini Ni Moja Ya Alama Za Illuminati lakini hizi ni Tricks tu za Freemasons kama ilivyo kawaida Yao kutumia vitu, kitu, sehemu na watu wenye ushawishi mkubwa kuwa Haribu Au Kuteka Akili za Watu. -

Ukiangalia Nembo ya Nyoka Ipo kwenye Mahospital Mengi Duniani, Shirika la Afya Duniani Na Vyuo vya Tiba. 
Wengi Imani Zetu Zipo Negative Kuliko Positive. -

MWISHO

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages