Yuko Shimizu is a japanese manga artist based in New York city

Yuko Shimizu is a japanese manga artist based in New York city who created the cartoon character of "Hello kitty" in 1974.She was selected as one of "100 japanese people the world respects" by News week magazine.
You've probably seen her work on Gap T-shirts,Microsoft,Rolling stone,New York Times and other publications.
.
.
Yuko Shimizu ni msanii wa katuni na sanaa nyingine mchanganyiko kutoka nchini Japan anayefanyia kazi zake katika jiji la New York,ndiye aliyebuni mchoro wa katuni ya "Hello kitty" mnamo mwaka 1974.Jarida la News week lilimuorodhesha miongoni mwa "wajapani 100 ambao dunia inawaheshimu" mwaka 2009.
Amefanya kazi na makampuni makubwa kama Microsoft na pia michoro yake imeonekana kwenye fulana za kampuni ya utengenezaji nguo ya Gap.Baadhi ya kazi zake zimechapishwa na magazeti na majarida ya Rolling stone,New York Times na mengine.
.
.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages