UTATA WA VIFO VYA MARAIS WA WILI WA.........



UTATA WA VIFO VYA MARAIS WA WILI WA MAREKANI "ABRAHAM LINCOLN & JOHN KENNEDY.

Hawa ni marais wa walio wai kuiongoza marekani kwa kipindi tofauti,lakini vifo vyao vime kuwa gumzo sana kutokana na mambo mengi na historia yao kufanana.

ABRAHAM LINCOLN alichaguliwa kuwa Mbunge wa Congress mwaka 1846, JOHN KENNEDY alichaguliwa kuwa Mbunge wa Congress mwaka 1946, yani tofauti ya miaka 100.

LINCOLN alichaguliwa kuwa rais wa marekani mwaka 1861, KENNEDY alichaguliwa kuwa rais wa marekani mwaka 1961, yani tofauti ya miaka 100.

Majina yao wote LINCOLN na KENNEDY yana herufi 7.


Wote wakati wakiwa madarakani wake zao walifiwa na mtoto, yani kila mmoja mtoto wake alikufa.

LINCOLN ,Katibu wake alikuwa ana itwa KENNEDY, na KENNEDY katibu wake alikuwa ana itwa LINCOLN.

Lincoln na Kennedy ,wote wali uwawa siku ya Ijumaa na wote waliuwawa kwa kupigwa risasi ya kichwa.

Watu walio wasaidia Lincoln na Kennedy kufanikiwa ,wote walijulikana kwa majina ya Andrew Jonson.

Andrew Jonson,aliemsaidia lincoln alizaliwa mwaka 1808, na Andrew jonson alie msaidia Kennedy alizaliwa 1908, yani tofauti ya miaka 100.

Wote wawili wali uwawa na wauwaji,walio julikana kwa majina yote matatu na majina yao yote yana herufi 15.

John Walker booth,alie muuwa Lincoln alizaliwa mwaka 1839, na Lee harvey Oswald ,alie muuwa Kennedy alizaliwa mwaka 1939, yani tofauti ya miaka 100.

Wauaji wote wa wili wali uwawa punde walipo taka kutoroka baada ya kufanya mauaji.

Lincoln aliuliwa kwenye Jengo la Ford,linalo milikiwa na kampuni ya kutengeneza magari ya ford, Kennedy aliuliwa kwenye gari la lincoln ,lililo tengenezwa na kampuni ya Ford.

Wiki moja kabla ya lincoln kuuwawa alikuwa sehemu iliyo kuwa inaitwa Monroe maryland, na Kennedy wiki moja kabla haja uwawa alikuwa na mwigizaji aliye itwa Marilyn monroe. 👉Kuna baadhi ya maisha ya watu yamepangwa ili kuleta tukio fulani.."I believe some lives are linked across a time ago" , hivyo pengine hata wew maisha haya unayo ishi yana fanana na maisha ya mtu alie pita, au kama sivyo basi kuna mtu ata kuja kuishi maisha yanayo fanana na yako, ugumu upo katika kumjua ni nani ambae aliishi au ataishi maisha kama yako. ✨✨MWISHO✨✨✨

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages