Hii Ilikua Ni Adhabu Huko Persia Ambapo Mtu Ukibainika Na Kosa Ulikua Unahukumiwa Kufungwa Kamba Sehemu Mfano Ndan Ya Msitu Au Kweny Boti Halafu Unavuliwa Nguo Unabaki Mtuupu Halafu Unapakwa Asali Na Maziwa Mwili Wooote Af Unaachwa Hapo .
Baada Ya Muda Wadudu na Ndege wanaopenda Asali na maziwa wataanz kukutembelea hapo na Kukuingia Kukutafuna , Taratibu Mpaka Utakapokufa na Kuoza.
Baada Ya Muda Wadudu na Ndege wanaopenda Asali na maziwa wataanz kukutembelea hapo na Kukuingia Kukutafuna , Taratibu Mpaka Utakapokufa na Kuoza.

No comments:
Post a Comment