Usiyo ya Jua kuhusu BUNDI(OWL)
Huyu ni ndege ambae amekuwa aki husishwa katika mambo mengi sana ,haswa ya kustaajabisha.

Sasa usichokijua kumuhusu Bundi ni kwamba.

Unaambiwa , ukimchukua bundi, kisha uka muangilia ndani ya sikio kwa kumtanua , utaona shimo ndani yake utaona Jicho lake lote kwa upande wa nyuma na mishipa yote inayo ishikiza jicho hilo.

Unaambiwa Bundi ana uwezo wakuzungusha kichwa chake mpaka kufikia nyuzi /angle 360, yani sawa na mzunguko mzima wa Duara.

Pia Usicho kijua ,katika maisha ya kale , huko ugiriki ya kale , Bundi alikuwa ana tumika kama ishara ya ushindi katika vita(sign of victory), hivyo wanajeshi walikuwa wakibahatika kumuona bundi kipindi cha vita basi walikuwa wana amini wana shinda.

Bundi , katika maisha ya kale mpaka sasa , katika baadhi ya tamaduni anachukuliwa kama ishara ya kifo..inasemekana endapo ukamwona bundi usiku au bundi akalia karibu na nyumba yako basi jua kuna mkosi ,sana sana Kifo kinaweza kutokea hapo..pia inasemekana bundi alitabili kifo cha Julius Caesar, baada ya kuonekana nyumbani kwa caesar kabla ya kifo chake.

Pia bundi, huwa anakula mtoto wake wa kwanza ambae mwenye nguvu punde anapo watotoa.

pia, bundi katika kipindi cha kale alikuwa anatumiwa na wachawi ata waganga , hususani katika kupeleka ujumbe au kufanya sindiko , hii ipo mpaka sasa katika baadhi ya tamaduni.

Lakini yote kwa yote Bundi ni ndege mzuri sana, kutokana na upole wake, pia ana sauti nzuri sana lakini anauwezo waku mvamia mtu endapo ata bugudhika. ✨✨MWISHO✨✨

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages