TOMINO'S HEll.

TOMINO'S HEll.

Nihadithi maarufu sana ya kijapani, inayo husu shairi , (Poem), linalo itwa Tomino's hell.
Shairi hili liliandikwa na mjapani, mmoja alie kuwa akiitwa "Yomota inuhike" mwaka 1919, katika kitabu cha "The heart is like a Rolling stone"..Ambapo shairi hilo lina zungumzia kuhusu mtu alie potelea jehanamu(hell). Onyo/Angalizo; Hautakiwi kulisoma shairi hili kwa sauti, kwasababu endapo ukalisoma kwa sauti, lazima utawajibika kwa hilo, haswa utakufa, kama sio kufa lazima upatwe na matatizo maishani mwako..shairi hili linasomwa kimoyo moyo/nafsi.
Wapo watu ambao, walijaribu kulisoma kwa sauti na hawaku dhurika ,pia wapo ambao walisoma kwasauti na wakafa na wengine kupotea.
Ukitaka kulisoma ingia Google au youtuble , tafuta " Tomino's hell curse poem"..Utalipata ,liliandikwa kijapani ila kwasasa limetafsiriwa kwa lugha mbali mbali, hususani kiingereza.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages