THE AXE MAN
Ebu Nianze Mbali Kidogo, Ni Katika Jiji la New Orleans Huko Nchini Marekani Kimbunga Louisiana kilitokea mnamo mwaka 1901 na kusababisha mafuriko makubwa ndani ya jiji la New Orleans, -
Baada tu ya miaka nane kimbunga kingine kilikita jiji na kuacha misiba , majonzi na uharibifu mkubwa, kikienda kwa jina la Grand Isle, upepo wake ukikimbia kwa kilomita 195 kwa Saa. -
Kama haitoshi, miaka sita tena mbele, kimbunga kingine kili sambalatisha jiji hili pasi na huruma, hiki kikimbia kilomita 230 kwa saa Kikigeuza nyumba kuwa maghofu na kuingizia hasara nchi ya Marekani kiasi cha $13,000,000 kwa kipindi hicho.
-
Hizi ndizo zilikuwa habari mbaya kabisa kuwahi kulikumba jiji hili katika karne ya ishirini (1900’s - 1940’s), zikiwapa watu presha, wakipiga simu na kutuma ujumbe huku na huko kuulizia wapendwa wao kama wapo hai.
-
Mambo yalitulia kwa Muda Tu, (1918-1919) Wakati Huu Sasa Ana Ibuka Mr Kishoka (AXE MAN) Mimi Namuita GHOST KILLER, huyu Bwana Alikua ana ua watu kwa kutumia shoka kisha lile shoka ana liacha sehemu aliyo tekeleza mauaji. -
Tofauti ya huyu jamaa alikua Ana tokea tu sehemu ya tukio ana tekeleza mauaji ana acha shoka na kuondoka, na alikua ana wafuata watu ndani kwao, unapo Shituka tayari amesha simama mbele yako na ana kukata kata na shoka hadi chumba chote kitakapo tapakaa damu. -
Axe Man alifanya mauji na kuwa jeruhi watu wengi kibaya zaidi alikua ana tokea na kupotea, uthibitisho wake ni kile kishoka anacho kiacha mara Baada ya Mauaji.
Polisi yali fanya Jitihada kubwa za kumnasa bila mafanikio. -
Siku Moja mara Baada ya mauaji ali acha barua hii,
JEHANAMU, March 13, 1919,
Wapendwa viumbe,
Hawajawahi kunikamata na kamwe hatafanikiwa. Hawajawi kuniona, kwakuwa sionekani, mimi sio binadamu, bali roho na jini kutoka huko jehanamu. -
Mimi ndiye yule ambaye watu na polisi wenu wajinga wanamuita mtu wa shoka (Axeman).
Nitakapotaka, nitakuja na kuwadai wahanga, Mimi mwenyewe ndiye najua watakuwa ni wakina nani. -
Itaendelea -
No comments:
Post a Comment