ROOPKUND -
Hili Ni Ziwa linalo patikana nchini India, lime zungukwa na Mabwawa na vidimbwi kadhaa, Mnamo Mwaka 1945 Watafiti kutoka Nchini Uingereza wali Gundua Uwepo wa Mafuvu na Mifupa mingi katika ziwa hilo Dogo, -
Wali gundua uwepo wa mafuvu na Mifupa Takribani 16,000, kwenye Moja Ya vidimbwi Kuna fuvu moja ambalo tokea siku ambayo lili Gunduliwa lenyewe huwa Lina elea tu juu ya maji halija wahi kuzama. -
Tafiti Mbali Mbali zime fanyika lakini Tafiti ya mwaka 2004 ilionekana kuwa na majibu ya kuridhisha kidogo, baada ya kufanya vipimo vya vina saba (DNA) vipimo vilionyesha wale watu Ni wa jamii moja kwa lugha nyingine walikuwa na undugu fulani kutokana na majibu ya vipimo Kufanana. -
Pia Tafiti zili onyesha wale watu wote zaidi ya 200 walikuwa wame kufa kifo ambacho Kina fanana kutokana na muonekano wa mafuvu yao Kufanana Tokea mafuvu ya miguu hadi mafuvu ya Vichwa. -
Ina kadiliwa ime pita Takribani Miaka 1,200 Tokea siku ya Tukio Hilo lakini hali ya Mifupa na mafuvu ya watu hao ina onyesha kama walikua wame kufa siku chache Tu zilizo pita. -
Kwa Sasa Sehemu Hiyo Ina Fahamika Kwa jina la The Skeleton Lake, wakati wa baridi mafuvu na Mifupa hiyo hupotea kabisa na kurudi baridi inapo ondoka, Inasemekana labla huwa ina funikwa na barafu. -
MWISHO -
No comments:
Post a Comment