Rothschild walianzisha Familia Nne kuu ambazo zilibase kwenye Nchi familia hizo ambazo ni; ✨Rothschild Banking family of Austria ,iliyo anzishwa na Carl Rothschild.
✨Rothschild banking Family of France,iliyo anzishwa na James mayer rothschild.
✨Rothschild banking family of England, iliyo anzishwa na Sr. Nathan mayer Rothschild na hii kwasasa ndio kubwa na center ya mifumo ya kifedha duniani iliyopo london, ndomana mji wa londoni ndio mji unaojulikana kama mji unao control mifumo yote ya kifedha duniani. ✨Rothschild banking family of Germany, ilianzishwa na amschel mayer Rothschild ambae ndio muanzilishi na anajulikana kama "Baba wa mifumo ya kifedha kimataifa". 👉Pamoja na hayo Rothschild hii familia imekuwa ikihusiswa na mabaya mengi sana, kwanza kabisa inasemekana hawa ni moja kati ya Matawi ya Illuminant, ambapo unapo taja zile familia 13,za illuminant ,Rothschild ndio ya kwanza, na inasemekana hawa illuminant walimtumia ,Amschel rothschild kuanzisha hii familia, ili kusudi wa ushikilie wao uchumi wa dunia ,ili iwe rahisi katika kutimiza lengo lao la "NEW WORLD ORDER". Hawa wana husishwa kwenye vita zote Kuu za dunia ,Haswa Vita ya pili ya dunia, inasemekana hawa walimtumia Adolf hitre na benito musolin kupitia Nazi part mwaka 1920, ili kuhalibu mifumo ,mingine ya kibenk ambayo ilikuwa imeanzishwa,kwa kuhofia wenda wata pitwa, na kweli ile vita ili haribu sana mifumo mingi ya kibenk, kitu kilicho sababisha kutokea kwa " The Great Depression"( anguko la kiuchumi), kitu ambacho kiliwafanya wao pekee wabaki kupitia Benki kuu ya dunia, hivyo kutoa mikopo kwa nchi halsika kwa riba kubwa.
Hawa pia wana, husishwa pia katika french revolution(mapinduzi ya ufaransa), ili iwe rahisi kwao kuendesha biashara zao, pia hawa walihusika katika kuwasaidia Brazili kupata uhuru wao kutoka kwa ureno.
Pia hawa wamehusishwa katika kuzama kwa meli ya Titanic,kwa lengo la kuwa ua mabilionea watatu Jonh jacob, Benjamin na Isidor ambao walianzisha benki Nchini marekani hivyo kuwafanya wao wasipate soko, sasa baada ya kuona hivyo waliamua kuwa poteza ili wao wabaki katika utawala. ✨✨ITAENDELEA✨✨

No comments:
Post a Comment