Mwanaume akipigwa teke katika Korodani unaambiwa maumivu yake hufikia mpaka 9000 del (Units) ya maumivu ambayo ni sawa na kuzaa watoto 150 na pia kuvunjwa mifupa 3200 kwa Wakati Mmoja.
Binadamu Tuna uwezo wa Kuvumilia Maumivu Yanayofikia 49 del (Units). Mwanamke Anapojifungua Unaambiwa Anapata Maumivu Ya Kiasi Cha 57 Del (Units) ambazo ni Sawa Na Kuvunjwa Mifupa 20 Kwa Wakati Mmoja.
No comments:
Post a Comment