Mtoto aliyezaliwa Alikua na Vichwa Viwili


Mwaka 1783 Huko Katika Kijiji Cha Mundul Gait Huko Bengali Alizaliwa Mtoto Wa ajabu aliyewaacha Wengi Mdomo Wazii na Butwaa. Mtoto aliyezaliwa Alikua na Vichwa Viwili Yaani Alikua na Kichwa na Kingine Kipo juu yake Kimeungana Baada Ya kuzaliwa Mkunga Huyo Alijua Kwamba Itakua ni laana Moja kwa Moja na alimtupa Mtoto Huyo Kweny moto Japo Mtoto Huyo Hakufariki na aliendelea Kuishii Vizuri.

Kile Kichwa cha juu Kiliungua masikio na sehem za macho . Alikua Akila Kile Kichwa cha Juu Kinatoa Mate na Kila akilala Kichwa Kile cha Juu Kilibaki Ivo ivo Kikikodoa kodoa Lakini Pia Kichwa Kile Kilikua hakina Umbo Zurii , Ulimi ulikua Mdogo pamoja na Taya Zake Zikiwa Vibaya.
Wazazi Wake Walianza Kumtumia Mtoto Wao kama Chanzo Cha Kipato maana Familia Hio Ilikua masikini sana Hivyo Wat Walikua Wanalipia na Kumuona Mtoto Huyo Wa ajabu Mwenye Vichwa Viwilii . Inadaiwa Baada Ya Kufikisha Miaka Mi4 Mtoto Huyo alifariki Baada Ya Kugongwa na Nyoka aina ya Cobra.

Watoto Wanaozaliwa namna hii huwa wengi wanakufa baada ya Kuzaliwa na Wengine kuzaliwa wakiwa Wafu.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages