Mr. Magnet(LIEW THOW LIN)


LIEW THOW LIN
Huyu alizaliwa March 31 mwaka 1930 huko malaysia na wengi wanamfahamu na kumuita Mr. Magnet.
Jina Hilo alilipata kutokana na uwezo wake wa kunasa vitu vyenye asili ya chuma na metali katika mwili wake .
Alifanya maonesho mbalimbali kuonesha uwezo wake huo na alikua na uwezo wa kuvuta gari kwa kutumia uwezo wake huo.
University Of Technology huko malaysia moja ya wanasayansi waliokua katika chuo hicho alisema hana nguvu yoyote ya usumaku katika mwili wakee. Alisema ngozi yake ina msuguano (Skin Friction) inayopelekea Vitu kushindwa kushuka kiurahisi pindi vinapokua katika Ngozi yake . Alifariki mwaka 2013.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages