Milionea ni mtu ambaye ana mali zenye thamani inayofikia milioni 1 ya fedha za nchi aliyopo.
Mfano; mtanzania mwenye mali za milioni moja ni milionea wa kitanzania, mmarekani mwenye dola milioni 1 ni milionea wa kimarekani n.k.
Lakini imezoeleka kutumia dola za kimarekani kutambulisha mamilionea; kwamba, milionea ni mtu mwenye mali zenye thamani ya dola milioni 1.
No comments:
Post a Comment